Maisha

Aweka tangazo la ndoa la aina yake nje ya nyumba kisa hiki hapa

Tarehe December 7, 2016

czbaie_wgaead0w

Mzee Athumani Bakari Mkazi wa Dar es Salaam amechukua hatua ya kuweka tangazo nje ya nyumba yake likielezea aina na sifa ya mwanamke anayeptaka kumuoa baada ya mke wake kufariki dunia.

Kinachoshangaza zaidi ni namna tangazo hilo lilivyoandikwa na kuwekwa kama vile ni tangazo la nafasi ya ajira ambayo mtu anaweza kupeleka maombi.

Jionee tangazo lenyewe hapa chini,

czbaie_wgaead0w

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni