Maisha

Abambwa akimtorosha mpenzi wake ndani ya begi kutoka gerezani

Tarehe January 11, 2017

c14vrhkwqaafnlv

Mfungwa mmoja nchini Venezuela amekamatwa akiwa anatoroshwa gerezani na mpenzi wake ambaye alimuweka ndani ya begi.

Wawili hao walikamatwa na mpango wao kuvurugika baada ya kushtukiwa na walinzi wa gereza hilo.

c14vrhkwqaafnlv c14vrhkxcaafpys

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni