Habari/News

Waziri wa Magufuli aipoza machungu Familia ya Akwilina

Tarehe February 23, 2018

Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako.

Wakati mwili wa marehemu Akwilina Akwilini ukizikwa leo Rombo,Waziri wa Elimu, Profesa Joyce Ndalichako ameahidi kumsomesha mdogo wake Akwilina aitwae Angela Akwilini.

Kwa mujibu wa Prof.Ndalichako amesema leo kuwa binti huyo anayesoma kidato cha tatu atamsomesha hadi Chuo Kikuu.

Aidha,Dada yake Akwilina aliuawa kwa kupigwa risasi Februari 16, 2018 eneo la Mkwajuni jijini Dar es Salaam.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni