Habari/News

Watatu wadaiwa kufa wakisherehekea ushindi wa Kenyatta

Tarehe August 12, 2017

20770220_1576583555738966_6234994035831157608_n

Watu watatu wamedaiwa kufariki nchini Kenya wakati wakisheherekea ushindi wa Uhuru Kenyatta huku msichana mmoja akiuawa kwa kupigwa risasi katika ghasia zilizoripotiwa kutokea huko Mathare.

Aidha Waziri wa Mambo ya Ndani na Ulinzi wa Kenya amekana kuhusiana na kuwepo kwa matumizi ya risasi za moto wakati wa kuwatawanya waandamanaji.

Siku ya jana Tume ya Uchaguzi Kenya (IECB) ilimtangaza Rais, Uhuru Kenyatta kama mshindi wa uchaguzi wa rais uliofanyika hivi karibuni baada ya kupata kura zaidi ya milioni nane dhidi ya mpinzani wake mkubwa Raila Odinga aliyepata kura zaidi ya milioni sita.

20770220_1576583555738966_6234994035831157608_n 20799170_1576583579072297_2200994823223665957_n 20728311_1576583609072294_2073837211743170687_n

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni