Habari/News

Update:Ndege ya Air Tanzania yatua salama Kilimanjaro

Tarehe February 25, 2018

Moja ya Ndege yaAir Tanzania.

Ndege ya Air Tanzania iliyopata hitilafu na kulazimika kurudi jijini Dares salaam imetua salama uwanja wa Ndege wa Kilimanjaro majira ya saa mbili usiku.

Kwa mujibu wa taarifa za awali Ndege hiyo ilikuwa inaenda Kilimanjaro kutoka Dar es Salaam ambapo  inasemekana ilipata  matatizo ya kiufundi.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni