Habari/News

TMA yatoa tahadhari kuhusu Mvua kubwa

Tarehe May 15, 2018

Mamlaka ya hali ya hewa.

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini (TMA) imetoa tahadhari ya kunyesha mvua kubwa kwa  hadi  mei 17,2018.

Katika taarifa ya TMA iliyotolewa jana Mei 13, inaonesha kuwa  mvua hizo zilizoanza kunyesha  zitaendelea katika mikoa ya Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara na Visiwa vya Unguja na Pemba.

TMA imetoa wito kwa wa maeneo hayo kuchukua tahadhari stahiki na kuendelea kufuatilia taarifa pamoja na tahadhari zitakazotolewa.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni