Habari/News

TMA yatabiri mvua kubwa leo

Tarehe May 12, 2018

Mamlaka ya Hali ya Hewa nchini, (TMA) imewatahadharisha wananchi wanao ishi maeneo ya Ukanda wa Pwani kuwa mvua kubwa zinatarajiwa kunyesha kuanzia leo.

Kwa mujibu wa taarifa ya TMA imesema maeneo yanayotarajiwa  kupata mvua kubwa ni Dar es Salaam, Pwani, Tanga na Visiwa vya Unguja na Pemba.

Taarifa ya utabiri huo imeonesha kuwa Mei 13 kutakuwa na ongezeko la mvua maeneo ya Ukanda wa Pwani ya Kaskazini.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni