Habari/News

TMA yatabiri kutokea hali mbaya ya hewa

Tarehe February 6, 2018

 

Mamlaka ya hali ya hewa.

Mamlaka ya hali ya hewa nchini imewatahadharisha wananchi kuwepo kwa hali mbaya ya hewa katika maeneo yote ya pwani kuanzia leo  mpaka Februari 7 mwaka huu.

Kwa Mujibu wa na taarifa zilizotolewa na mamlaka hiyo imebainisha kuwa kutakuwepo vipindi vifupi vya upepo mkali unaozidi kilomita 40 kwa saa na mawimbi makubwa yanayozidi mita 2

Maeneo yatakayo athirika  ni  mkoa wa Tanga, Dar es Salaam, Pwani, Lindi, Mtwara pamoja na visiwa vya Unguja na Pemba.

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni