Habari/News

Tazama hapa matokeo ya kidato cha Pili,darasa la nne

Tarehe January 9, 2018

Katibu Mtendaji wa Necta, Dk Charles Msonde .

Baraza la Mitihani Tanzania (Necta) limetangaza matokeo ya mitihani ya upimaji wa darasa nne na kidato cha pili iliyofanyika Novemba 22 na 23 mwaka jana.

Tazama hapa matokeo hayo………..

Matokeo ya kidato cha pili

Kwa matokeo ya darasa la nne Bonyeza hapa…………….

Bofya hapa


Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni