Habari/News

TANZIA: Aliyekuwa RC Manyara, Joel Bendera afariki dunia

Tarehe December 6, 2017

Aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Manyara, Joel Bendera,  amefariki dunia leo katika Hospitali ya Taifa Muhimbili.

Bendera amewahi pia kuwa Mkuu wa Mkoa wa Morogoro na Naibu Waziri wa Wizara ya Habari, Utamaduni, Sanaa na Michezo.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni