Habari/News

Serikali yalipiga ‘stop’ shirika linalojihusisha na ukahaba

Tarehe October 25, 2017

Baadhi ya wanawake wanajishughulisha shughuli ya ukahaba.

Ofisi ya Msajili wa Taasisi zisizo za Serikali imesimamisha shughuli za Shirika la KBH Sisters kwa tuhuma za kujihusisha na uhamasishaji wa biashara ya ukahaba katika maeneo mbalimbali nchini hususan Jijini Dar es Salaam kinyume na usajili wao.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni