Habari/News

Rais Magufuli ateua Vigogo Bodi za Serikali

Tarehe December 7, 2017

Rais Dkt. John Magufuli

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amefanya uteuzi wa Wenyeviti 6 wa bodi za taasisi za Serikali.

Taarifa ya Ikulu iliyotolewa jioni ya leo imeeleza kuwa Rais Magufuli amemteua Bi. Monica Ngezi Mbega kuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Mazao Mchanganyiko kuanzia Novemba 30, 2017.

Kwa habari zaidi soma taarifa ya Ikulu hapa…..

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni