Habari/News

Rais Magufuli ashiriki Ibada Jumapili ya Matawi

Tarehe March 25, 2018

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli wakiwa katika ibada ya Jumapili ya Matawi jijini Dar es salaam.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli na mkewe Mama Janeth Magufuli na mke wa Waziri Mkuu Mama Mary Majaliwa  leo wamejumuika na waumini wengine katika Ibada ya Jumapili ya Matawi katika kanisa la Mtakatifu Petro Oysterbay jijini Dar es salaam leo Machi 25, 2018.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni