Habari/News

Rais Magufuli amteua Bernad kuwa Bosi NHIF

Tarehe August 12, 2017

Rais Dkt.John Pombe Magufuli.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli.

Rais Dkt.John Pombe Magufuli leo amemteua  Bw.Bernad Konga kuwa Mkurugenzi Mkuu wa Mfuko wa Taifa wa Bima ya Afya (NHIF).

Kwa mujibu wa taarifa ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi John Kijazi imebainisha kuwa kabla ya uteuzi huo Bw.Bernad Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni