Habari/News

Rais Magufuli afanya uteuzi Mwingine

Tarehe May 15, 2018

 

Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli.

Rais wa Jamnhuri ya Muungano wa Tanzania Dk. John Pombe  Magufuli amemteua Prof. Siza Donald Tumbo kuwa mwenyekiti wa Bodi ya Utawala ya Chuo cha Ufundi Arusha (Arusha Technical College).

Kwa habari zaidi taarifa ya Ikulu hapa…………..

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni