Habari/News

Profesa Jay asema haya baada ya mbunge wa kilombero kuhukumiwa jela

Tarehe January 11, 2017

Wabunge Joseph Mbilinyi na Joseph Haule

Wabunge Joseph Mbilinyi na Joseph Haule

Mbunge wa Mikumi (CHADEMA), Joseph Haule ametumia ukurasa wake wa Twitter ya moyoni baada ya mbunge mwenzake wa Kilombero kuhukumiwa leo kifungo cha miezi sita (6) jela bila faini pamoja na dereva wake kwa kile kilichodaiwa kufanya vurugu katika uchaguzi wa mwaka 2015 kwa kuwatishia polisi na Mkurugenzi wa Halmashauri ya Kilombero.

c15c8jswqaejbeq

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni