Habari/News

Polisi yamwaga ajira,hizi ndizo sifa za kujiunga

Tarehe April 17, 2018

Jeshi la Polisi Tanzania.

Hatimaye,Jeshi la Polisi nchini limetangaza nafasi za ajira kwa mwaka 2017/2018 kwa vijana waliopita mafunzo ya JKT/JKU.

Ajira hizo zitawahusu vijana  ambao wamemaliza mafunzo ya awali katika operesehi Kikwete na Operesheni Magufuli wenye elimu ya kidato cha nne, cha sita, astashahada, stashahada, shahada ya juu.

Kwa habari zaidi soma taarifa ya Polisi hapa…………….

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni