Habari/News

Polepole adai CCM itaisambaratisha Chadema

Tarehe January 5, 2018

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole .

Katibu wa Itikadi na Uenezi wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Humphrey Polepole amesema chama chake kitaendelea  kuwang’oa viongozi kutoka Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA).

“Leo Madiwani wengine wawili wamehama na kujiunga na CCM. Ukiwasikiliza kilichowaondoa ni Uongozi Mbovu na Ubabe pale Iringa. Nasikia wameambiwa “never outshine your master”. Mimi nilidhani “masta” ni wananchi kumbe ni “pasta”. Ukitukana tusi moja Kiongozi mmoja nachomoa DSM ” – Polepole

Kupitia Twitter amesema …..
Humphrey Polepole
@hpolepole
Leo Madiwani wengine wawili wamehama na kujiunga na CCM. Ukiwasikiliza kilichowaondoa ni Uongozi Mbovu na Ubabe pale Iringa Mjini. Nasikia wameambiwa “never outshine your master”. Mimi nilidhani “masta” ni wananchi kumbe ni “pasta”. Ukitukana tusi moja Kiongozi mmoja nachomoa DSM

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni