Habari/News

Picha:Yaliyojiri kwenye Tamasha la Usalama Barabarani

Tarehe August 12, 2017

Mwanamuziki Chid Benz akitumbuiza kwenye Tamasha la Usalama Uwanja wa Uhuru leo.

Matukio katika Picha yaliyojiri kwenye Tamasha la Usalama Barabani leo katika uwanja wa Uhuru jijini Dar es salaam.

Mkubwa Fella akizungumza jambo na Chid Benzi (kulia) kwenye tamasha la Usalama.

Tamasha la Usalama Barabarani.

Tamasha la Usalama Barabarani.

Maelfu ya wananchi kwenye Tamsha la Usalama Barabarani.

Wananchi wajitokeza kwa wingi kwenye Tamasha la Usalama barabarani.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni