Habari/News

Nyumba ya Mwenyekiti CCM Hai yachomwa moto

Tarehe June 19, 2017

moto

Nyumba ya Mwenyekiti wa CCM Wilaya ya Hai, Dkt. Amini Uronu imechomwa moto usiku wa kuamkia leo na watu wasiojulikana.

Mtoto wa Mwenyekiti huyo amesema kuwa Wazazi wake wote wamelazwa baada ya kupata madhara kiasi katika miili yao.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni