Habari/News

Ndege ya Air Tanzania yapata hitilafu,yalazimika kurudi

Tarehe February 25, 2018

Moja ya Ndege yaAir Tanzania.

Ndege ya Air Tanzania leo imepata hitilafu na kulazimika kurudi.

Kwa mujibu wa taarifa za awali Ndege hiyo ilikuwa inaenda Kilimanjaro kutoka Dar es Salaam ambapo  inasemekana ni matatizo ya kiufundi.

Ndege hiyo  imerejea uwanja wa ndege Dar baada ya dakika  chache na hadi sasa abiria hawajashuka na haijajulikana kama wataendelea na safari au la.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni