Habari/News

NASA kukimbilia mahakamani kupinga Kenyatta kutangazwa mshindi

Tarehe August 12, 2017

20728171_1783743694987509_6700583504840203383_n

Wakati Tume ya Uchaguzi Kenya (IEBC) ikimtangaza rasmi Rais, Uhuru Kenyatta kama mshindi wa uchaguzi wa Rais uliofanyika juzi, taarifa zinasema kuwa Umoja wa Upinzani (NASA) ukiongozwa na aliyekuwa Mgombea Urais, Raila Odinga umeamua kwenda mahakamani kupinga iwapo Uhuru Kenyatta kutangazwa mshindi.

Tangu kuanza kutangazwa kwa matokeo ya awali, NASA ilitangaza kutokukubaliana na matokeo hayo huku ikisisitiza kuwa ni matokeo ya tume na sio kura halisi zilizopigwa na wakenya.

20728171_1783743694987509_6700583504840203383_n 20728115_1783743524987526_5798872434288508958_n 20770196_1783743901654155_2298430037333186946_n 20799033_1783743714987507_106168365183291236_n 20664658_1783743704987508_3286593533195258001_n

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni