Habari/News

Nape:’Bila siasa za kuvumiliana Tanzania itakua nchi ya Ovyo kuishi’

Tarehe March 31, 2018

Mbunge wa jimbo la Mtama Nape Nnauye.

Mbunge wa jimbo la Mtama kwa tiketi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Mh Nape Nnauye amesema bila viongozi wa kisiasa kujifunza siasa za kuvumiliana basi tutarajie Tanzania kuwa nchi ya ovyo kuishi.

“Pumzika Mzee Kimesera, kwako tunajifunza siasa za kuvumiliana! Viongozi wa kisiasa tusipojenga Utamaduni wa Kuvumiliana Tanzania itakuwa nchi ya hovyo kabisa kuishi” Amesema Nape Nnauye

Katika maadhimisho ya Pasaka Nape amewataka wananchi wake wa Mtama kupendana na kushilikiana kwa ajili ya maendeleo ya jimbo lao la Mtama na kuhakikisha jimbo hilo linakuwa jimbo la mfano nchini.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni