Habari/News

Mwili wa Akwilima waagwa,Kuzikwa leo Rombo

Tarehe February 23, 2018

Ibada ya kuaga Mwili wa   Akwilima  imefanyika  katika Kanisa la Mtakatifu Theresia Parokia ya Olele Wilaya ya Rombo mkoani Kilimanjaro.

Baada ya ibada hiyo ndugu, jamaa, viongozi na watu wa kada mbalimbali watatoa heshima za mwisho na kisha mwili kupelekwa nyumbani.

Baada ya mwili huo kuwasili  nyumbani kwake  msafara utaelekea  makaburini  ambapo  mazishi yataanza saa saba mchana.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni