Habari/News

Mwenge wa uhuru watinga kwa kishindo visiwani Zanzibar

Tarehe October 12, 2017

Mh,Ayoub Mohammed Mkuu wa Mkoa Mjini Magharibi

Mwenge wa uhuru umewasiri visiwani Zanzibar na kukagua miradi mbalimbali ya maendeleo na unatarajiwa kuhitimishwa siku ya jumamosi ya tarehe 14/10 katika uwanja wa amani ndani ya mkoa wa mjini Magharibi.

Akizungumza na vyombo vya habari leo mkuu wa mkoa wa mjini Magharibi Mh,Ayoub Mohammed Mahmoud amesema wanayofuraha kwa kuhitimishwa mwenge katika mkoa wao.

‘Tunafurahi kuazimishwa mwenge  katika mkoa wetu pamoja na kuandika historia kwa mara ya kwanza hivyo nawaomba wazanzibar kujitokeza kwa wingi katika uwanja wa amani

Mgeni Rasmi katika maadhimisho hayo ni   Raisi wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dokta John Pombe Magufuli.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni