Habari/News

Shambulio jingine baya Uingereza, mmoja akifa na wengine kujehuriwa

Tarehe June 19, 2017

london attack

Mtu mmoja ameuawa na wengine wanane kujeruhiwa baada ya gari kugonga umati wa watu waliokuwa wakitembea karibu na msikiti.

Mwanamume mmoja mwenye umri wa miaka 48 amekamatwa kufuatia kisa hicho.

Polisi wamelielezea tukio hilo kuwa ni la kigaidi.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni