Habari/News

Mkurugenzi wa sheria Chadema apata pigo

Tarehe January 12, 2018

Mkurugenzi wa Sheria na Katiba Maendeleo (CHADEMA ambaye pia ni Wakili msomi Peter Kibatala amepata pigo kufuatia kufiwa na  mama yake mzazi Bi Anna Mayunga.

Kufuatia msiba huo chama cha Chadema kimetuma salamu za rambirambi.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni