Habari/News

Mkurugenzi Kongwa afariki dunia kwa kuangukiwa na Lori

Tarehe April 15, 2018

Ajali ya Lori la Mafuta kuangukia gari la Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa.

Mkurugenzi wa Manispaa ya Kongwa, Izengo Ngusa, amefariki asubuhi ya leo Aprili 15 kwenye ajali ya gari.

Kwa mujibu wa taarifa za awali zinasema gari dogo alilopanda Mkurugenzi huyo, lenye namba za usajili T619 DMA aina ya Toyota Crown Athlete, liliangukiwa na lori lililobeba mafuta na kupeleka kufariki Dunia.

Ajali hiyo imetokea katika eneo  la Mbande Makaravati mkoani Dodoma.

Kwa habari zaidi endelea kutembelea hivisasa.co.tz.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni