Habari/News

Meya wa Ubungo achukuliwa na polisi kwa mahojiano

Tarehe June 19, 2017

DCrN2ETXkAAcmjG

Meya wa Manispaa ya Ubungo, Boniface Jacob amechukuliwa na polisi kwa ajili ya mahojiano katika kituo cha Polisi Mbezi.

Hatahivyo sababu ya kiongozi huyo kukamatwa bado haijajulikana.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni