Habari/News

Mbunge CHADEMA atupwa jela miezi 6 bila faini

Tarehe January 11, 2017

15977014_10206535498266544_6081449138543279336_n

Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mbunge wa Jimbo la Kilombero Mhe. Peter Lijualikali (CHADEMA) anadaiwa kuhukumiwa kwenda jela miezi sita (6) bila faini pamoja na dereva wake.

Hukumu hiyo imetolewa leo na Mahakama ya Wilaya ya Kilombero kwa Mbunge huyo wa Kilombero kwa kudaiwa kufanya vurugu siku ya Uchaguzi Mkuu wa mwaka 2015 akituhumiwa kuwashambulia polisi na Mwenyekiti wa Halmashauri Kilombero.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni