Habari/News

Makonda sasa awageukia wanawake waliotelekeza watoto

Tarehe April 13, 2018

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda.

Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda amesema jumatatu ya wiki ijayo atawaita akina baba kwa ajili ya kuongea nao kuhusu akina mama kutelekeza watoto na kuwa achia akina baba.

Akizungumza na Waandishi ofisini kwake  Makonda   amesema  kuwa familia 170 ambazo zilikwenda jana ofisini kwake waliweza kuelewana namna ya kulea watoto wao na kusema zoezi linakwenda vizuri kama ambavyo l

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni