Habari/News

Lema aanika ‘Siri’ya Wabunge kuhamia CCM

Tarehe December 15, 2017

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema.

Mbunge wa Arusha mjini kwa tiketi ya CHADEMA, Godbless Lema ameanika sababu ya wabunge kuhamia CCM akidai kuwa wanahongwa.

Kupitia ukurasa wake wa mitandao ya kijamii Lema amesema ………..

“Nitakupa mshahara wako wote kwa miaka iliyobaki, pia nitakulipia madeni yako yote, nitakupa kiinua mgongo chako chote nitakupa na mlinzi kwa kipindi hiki na ukitaka tena kugombea nitakupa kipaumbele wewe au kazi nyingine utakayotaka? Je, utakuwa tayari? Si utakuwa tiyari wajameni?”

Kauli ya Lema inafuatia  jana Mbunge wa Jimbo la Siha kwa tiketi ya CHADEMA, Godwin Ole Mollel kutangaza kujiuzulu nafasi yake ya Ubunge na uanachama wa CHADEMA kuanzia jana  na kujiunga na Chama Cha Mapinduzi (CCM).

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni