Habari/News

Lawrence Masha ataja sababu 5 kujiuzulu Chadema

Tarehe November 14, 2017

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha.

Waziri wa zamani wa Mambo ya Ndani, Lawrence Masha leo jumanne  amejivua uanachama wa CHADEMA akidai upinzani hauna nia ya kutafuta fursa ya kuunda Serikali.

Masha amekitumikia chama cha Chadema kwa miaka miwili akitokea Chama cha Mapinduzi (CCM).

Soma hapa barua ya Masha,ambayo imeambatana na sababu 5 za kujivua uanachama wa Chadema.

 

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni