Habari/News

Kikosi Maalum kuchunguza mchele wa plastiki

Tarehe June 19, 2017

3591e67487-rice-courtesy-of-wikipedia-commons-735x400

Mamlaka ya Chakula na Dawa Nchini(TFDA) imeunda kikosi maalum ili kupata ukweli juu ya mchele unaodaiwa kutengenezwa kwa kutumia plastiki baada ya picha kusambaa mitandaoni.

Taharuki kubwa imezuka miongoni mwa wananchi baada ya kipande cha video kusambaa mitandaoni kikionyesha plastiki ikiwekwa katika mashine na kubadilishwa kuwa mchele.

Licha ya kusambaa kwa video hiyo, kuna tetesi ya mchele huo kuwepo mitaani na kuendelea kutumika bila ya watu kujua.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni