Habari/News

Kijana akamatwa akiingiza simu 5 gereza la Keko kupitia mapande ya nyama

Tarehe June 19, 2017

simu

Kijana mmoja amekamatwa leo akijaribu kuingiza simu 5 katika Gereza la Mahabusu Keko. Alizifungasha kwenye mapande ya nyama.

Simu hizo zilikuwa ziingizwe gerezani humo ili wapewe wafungwa kwa ajili ya mawasiliano jambo ambalo ni kinyume cha sheria.

19366452_1517999328264056_1528456375949966125_n

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni