Habari/News

Kenya yapokea mabehewa mapya mradi mpya wa reli wa SGR

Tarehe January 11, 2017

_93358466_locom6

Serikali ya Kenya leo imepokea rasmi kundi la kwanza la mabehewa yatakayotumika katika reli mpya ya kisasa maarufu SGR.

Waziri wa uchukuzi James Macharia amesema kuwa safari ya reli mpya ya SGR inatarajiwa kufanyika tarehe 31 mwezi Mei kutoka Mombasa hadi Nairobi.

Takriban mabehewa 56 yanatarajiwa kuwasili nchini humo na yatafanyiwa majaribio kabla ya uzinduzi wake.

Ujenzi wa mradi huo wa barabara mpya ya reli utakamilishwa miezi 18 mapema kabla ya muda uliopangwa.

Injini ya mabehewa mapya ya treni yaliowasili katika Bandari ya Mombasa nchini Kenya.

Injini ya mabehewa mapya ya treni yaliowasili katika Bandari ya Mombasa nchini Kenya.

Behewa la treni lenye maandishi ya kuunganisha mataifa na maendeleo.

Behewa la treni lenye maandishi ya kuunganisha mataifa na maendeleo.

Mmoja wa madereva wa mabahewa yaliowasili bandarini Mombasa akiendesha mojawapo ya mabehewa hayo.

Mmoja wa madereva wa mabahewa yaliowasili bandarini Mombasa akiendesha mojawapo ya mabehewa hayo.

Baadhi ya watumbizaji waliowasili katika bandari ya Mombasa kulaki mabehewa ya treni yaliyowasili.

Baadhi ya watumbizaji waliowasili katika bandari ya Mombasa kulaki mabehewa ya treni yaliyowasili.

Waziri wa uchukuzi James Macharia akiserebuka na watumbuizaji.

Waziri wa uchukuzi James Macharia akiserebuka na watumbuizaji.

Barabara mpya ya SGR nchini Kenya inayoendelea kujengwa.

Barabara mpya ya SGR nchini Kenya inayoendelea kujengwa.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni