Habari/News

Kagame uso kwa uso na Rais Magufuli

Tarehe January 14, 2018

Rais wa Rwanda, Paul Kagame alipotua nchini Tanzania leo.

Rais wa Rwanda, Paul Kagame kwa mara nyingine   leo  amewasili nchini kwa ziara ya siku moja na kupokelewa na mwenyeji wake, Rais John Magufuli.

Aidha,Rais Kagame pia  alifika nchini Tanzania mwaka 2016 ambapo alifanya ziara na kushiriki maonesho ya 40 ya biashara (Sabasaba).

Hii ni mara ya pili kwa Kagame kuwasili nchini na kufanya mazungumzo na Rais Magufuli tangu mwaka 2015 mara baada ya rais Magufuli kutangazwa mshindi wa urais kwa tiketi ya CCM.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni