Habari/News

Dk.Shein atunuku nishani 43 miaka 54 ya Mapinduzi

Tarehe January 12, 2018

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dkt. Ali Mohamed Shein.

Maadhimisho ya miaka 54 ya Mapinduzi matukufu ya Zanzibar yamefanyika leo ambapo Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dkt. Ali Mohammed Shein ametunuku nishani zilizotukuka 43 kwa viongozi na watumishi wa umma.

Adha,aliye asisi, kutukuza pamoja na kuyaenzi Mapinduzi ya Zanzibar yaliyotokea mwaka 1964 naye ametunukiwa nishani.

Akizungumza baada ya kutunuku  nishani hizo  Rais Dk. Shein amewataka wananchi wa Zanzibar kuendelea kudumisha amani na utulivu uliopo ili kuwa chachu ya kuendelea kuwa kivutio kikubwa kwa uwekezaji miradi mikubwa.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni