Gossip/Udaku

Dicksound afichua sababu Kifo cha Masogange

Tarehe April 20, 2018

Masogange enzi ya uhai wake.

Mwanamitindo na video queen marufu bongo Agnes Gerald maarufu kama Masogange, amefariki dunia jioni ya leo April 20 alipokuwa amelazwa katika hospital ya Mama Ngoma akipatiwa matibabu

Kwa mujibu wa mtu wa karibu na Masogange Dicksound amesema kifo cha Masogange kimetokana na kuugua ugonjwa wa pumu.

Kwa sasa mwili wake umeshatolewa hospitali ya Mama Ngoma na umepelekwa hospitali ya Taifa ya muhimbili.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni