Habari/News

Dhahabu ya milioni 500 yakamatwa bandarini

Tarehe October 12, 2017

Habari zilizotufikia hivi punde zinadai kuwa Mamlaka ya Bandari Tanzania, imekamata Kilo 6.2 za madini ya dhahabu yenye thamani ya Shilingi Milioni 500 katika bandari ya Dar es Salaam.

Madini hayo yanadaiwa kuwa yalikuwa yakisafirishwa kwenda Zanzibar.

Ndugu msomaji endelea kuwa nasi kwa habari zaidi juu ya tukio hili.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni