Habari/News

Bungeni:Kilangi aapishwa kuwa Mwanasheria Mkuu wa Serikali

Tarehe February 5, 2018

Mmwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi akila kiapo Bungeni leo.

Mwanasheria Mkuu wa Serikali (AG), Dkt. Adelardus Kilangi leo ameapishwa na kukabidhiwa vitendea kazi tayari kwa kuwatumikia Watanzania.

Kilangi ameapishwa na Naibu Spika wa Bunge, Dkt.  Tulia Ackson kabla ya kuanza kwa Kikao cha Tano cha Mkutano wa 11 wa Bunge, Mjini Dodoma, leo Feb 5, 2018

Aidha,Kilangi  aliteuliwa na Rais Dkt. John Pombe Mgufuli,  Februari Mosi, 2018 ambapo  Paul Ngwembe aliteuliwa kuwa Naibu Mwanasheria Mkuu wa Serikali.
 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni