E-Events

Kongamano la Kunoa Vipaji

Date

Tarehe: Sep 30, 2017 08:00 Hadi: 23:30

Ukumbi

Bcic

Kiingilio

free

Location

Mbezi, Dar es salaam

Maelzeo Zaidi

Askofu Sylvester Gamanywa, akishirikiana na jopo la uongozi wa Wapo Mission International wameandaa kongamano la kutambua na kunoa vipaji kwa vijana kuanzia umri wa miaka 12 mpaka 40.

Kongamano hilo litajumuisha vijana wa aina yote kwa lengo la kuwafundisha na kutoa vipaji kwa kila kijana ili kujikimu katika maisha ya kumjua Mungu.

kongamano hilo litanzaa rasmi tarehe 30 mwezi huu, majira ya saa tatu asubuhi mkapa saa kumi na moja  jioni, maeneo ya mbezi beach katika kanisa la Bcic, kongamano hilo litakalo tumbuizwa na wasanii mbalimbali akiwepo joel Lwaga, Jesca Honore, King Alex Mahenge pamoja na Poul Clement.

Vijana wameombwa kujitokeza kwa wingi katika kongamano nakujifunza mambo mengi ya kumjua mungu katika kimaisha na kibiashara.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni