Burudani/Entertainment

TANZIA: Mwanamuziki wa bendi Ahmed Manyema afariki dunia

Tarehe June 19, 2017

88

Marehemu, Ahmed Manyema

Mwanamuziki mkongwe wa muziki wa dansi, Ahmed Manyema maarufu ‘Majini wa Bahari’ amefarki dunia katika Hospitali ya Mwananyamala alipokuwa akipatiwa matibabu.

Taarifa za kifo chake zimedhibitishwa na mwanamuziki mkongwe John Kitine baada ya kupata maelezo kutoka kwa daktari wa zamu.

Marehemu amefanya kazi ya muziki wa bendi mbalimbali nchini na baadhi ya nyimbo zikirekodiwa Redio Tanzania Dar es salaam ambayo sasa inafahamika kama TBC Taifa.

Mzee Ahmed Manyema ni mzaliwa wa Kigoma.

Mungu ailaze roho ya marehemu Manyema mahali pema peponi.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni