Burudani/Entertainment

TANZIA: Mke wa Mzee Yusuf afariki dunia

Tarehe June 18, 2017

19145886_1493889640654449_7651824361857947294_n

Mke wa Pili wa Aliyekuwa mfalme wa Taarab, Alhaj Mzee Yussuf, Chiku amefariki dunia katika Hospitali ya Amana, Jijini Dar es Salaam.

Chiku amefariki jioni ya jana alipokuwa amepelekwa kujifungua.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni