Burudani/Entertainment

Roma Mkatoliki atambulisha wimbo mpya wa Zimbabwe

Tarehe August 10, 2017

Baada ya ukimya wa muda mrefu Rapa wa Hip Hpo Roma Mkatoliki ameanza kutambulisha  ngoma yake mpya  aliyoipa jina la “zimbabwe”  mapema leo kwenye vyombo vya habari.

Roma Mkatoliki   siku za hivi karibuni alitangaza rasmi kuingia katika tasnia ya ualimu katika shule moja wapo ya msingi jijini Dar es salaam.

katika hatua nyingine rapa huyo amedai bado kidole chake kimoja cha mkononi hakija kaa sawa mpaka sasa baada kuteguka katika tukio la kutekwa na watu wasiojulikana miezi miwili iliyopita.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni