Burudani/Entertainment

Pam D: Mimi ni shabiki wa Yanga

Tarehe August 11, 2017

Pamela Daffa 'Pam D'

Pamela Daffa ‘Pam D’

Msanii wa muziki wa Bongo Fleva Pamela Daffa maarufu Pam D amejinasibu kuwa yeye ni mshabiki wa damu wa mabingwa watetezi wa taji la Ligi Kuu Tanzania Bara Yanga.

Katika mahojiano na tovuti hii, “….aaah! naipenda Yanga,” alisema Pam D.

Mbali na kuupenda mchezo wa kandanda msanii huyo aliweka bayana kuwa mpira wa wavu ndio unaomvutia zaidi na ndio anaopendelea kuucheza.

Aidha nyota huyo alipohojiwa kutokana na sauti yake kuwa nene na yenye mikwaruzo Pam D alisema, “ sio kwasababu ya pombe kali, au kukaa katika baridi lakini ni ya asili.” Pam D anayevuma na wimbo wake wa ‘Nimempata’ anasema

“Naishi kulingana na mazingira, Napenda niwe front katika kutafuta.”

Pam D & Jabir Johnson katika picha ya pamoja baada ya mahojiano Agosti 11, 2017.

Pam D & Jabir Johnson katika picha ya pamoja baada ya mahojiano Agosti 11, 2017.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni