Burudani/Entertainment

Ndoa ya Bondia Iddi Mkwela ilivyofana

Tarehe November 15, 2017

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi Mkwela kushoto na mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na baada ya sherehe kubwa Magomeni .Ndoa ya Bondia Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo ilifungwa Novemba 10, 2017.

Ndoa ni muungano kati ya mwanamke na mwanamume kuishi pamoja kama mume na mke muda wote wa maisha yao. (Sheria ya Ndoa ya Tanzania – mwaka 1971 kifungu cha 9).

  1. i) Wanaooana wawe wamekubaliana pasipo kulazimishwa na mtu.
  2. ii) Ndoa ni ya mwanamke na mwanamume.

iii) Ni ndoa ya kudumu maishani.

Kuna ndoa za kidini, za kimila na kadhalika. Bondia Iddi Mkwela na Zawadi Mcharo ni miongoni mwa watu wengi ulimwenguni ambao wamefunga pingu za maisha.

Wakiwa na nyuso za furaha baada ya kufunga ndoa ni bondia Iddi Mkwela kushoto na mkewe Zawadi Mcharo baada ya kufunga ndoa yao Majohe Dar es salaam na baada ya sherehe kubwa Magomeni.

Wasanii wa Kaole Sanaa Group hawakuwa nyuma kuunga mkono tukio hilo.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni