Burudani/Entertainment

Mzee Yusuph awataka mashabiki ‘kudelete’ nyimbo zake

Tarehe January 13, 2018

Mzee Yusph.

Mkurugenzi wa zamani  bendi ya Jahazi Modern Taarab, Mzee Yusuf  amewataka mashabiki wake ambao bado wana nyimbo zake za Taarab kwenye simu wazifute ili iwe kheri zaidi kwenye imani yake na dini.

Akiwa Babati mkoani Manyara Mzee Yusuph amewataka watu wenye nyimbo zake wazifute nyimbo zake hizo za Taarab kwa kuwa anaamini zinakwenda kinyume na imani yake.

Uamuzi wa Mzee Yusuf kuwataka mashabiki wake kuzifuta nyimbo hizo unafuatia uamuzi wake wa kuachana na uimbaji nyimbo za taarabu,pamoja na masuala ya muziki.

 

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni