Burudani/Entertainment

Kalunde awachana chipukizi bongo Muvi

Tarehe August 11, 2017

Mwigizaji mkongwe wa kaole Mariam Kwije “kalunde”

Mwigizaji mkongwe wa kundi la kaole,Mariam kweji ”Kalunde” amewatoa povu wasanii wanaochipukia kukubali kuelekezwa.

Akipiga stori  na  Sasa Tv nyumbani kwake Kalunde amesema baadhi ya   wasanii wanaochipukia hawapendi kuelekezwa.

“Chipukizi wanatakiwa watambue sie tumeliona jua kabla yao, kwahiyo wapunguze kujifanya wanajua, maana utashi na ujuaji wao umefanya mpaka soko la filamu limeporomoka ” alisema Kalunde

Kalunde alitumia fursa hii kuwashauri wakongwe wenzake kuangalia walipokosea  na warekebishe ili kulirejesha soko la Filamu lililotetereka.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni