Burudani/Entertainment

Elisha Kid atamani Colabo na Goodluck Gozbert

Tarehe June 16, 2017

 

Goodluck Gozbeth.

Goodluck Gozbeth.

Msanii wa muziki wa injiri nchini Tanzania Elisha Kid anayetamba na wimbo wake  aliofanya  Pamoja Records  amefunguka na kusema kwa  sasa anatamani kufanya wimbo na Goodluck Gozbert.

Akiongea na  mtandao huu, Elisha amesema wapo wasanii wengi na wanafanya vizuri lakini anaimani akifanya colabo na Goodluck itakuwa vema kwani nyimbo itakonga nyoyo na mafunzo

“Nyoyo za watu zitapata kuponywa zaidi endao nitafanya nyimbo na msanii Goodluck kwani sauti zetu zinaweza wagusa wengi”amesema Elisha

Ametumia fursa hii pia kuwaomba mashabiki zake wazidi kusapoti kazi yake pamoja na kumpa ushauri ili azidi kufanya kazi nzuri na yenye ubora.

Email this page

To:
From
Subject
Message
Code

Maoni